Mapenzi hayauzwi

Mapenzi hayauzwi

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
918
Reaction score
1,099
Tambua kuna NGONO NA MAPENZI
ukielewa hivo utagundua kuwa vijana wengi wanapewa ngono wakidhani ndo mapenzi maana kila siku misemo yao (Tafuta hela)
Malaya ndo muhitaji wa pesa kila kukicha kozi anashindana.. ila mke uliyemuoa hawezi kuwa na matumiz kama ya malaya so naeleweka nadhani. Mapenzi hayauzwi ila ngono inauzwa.
Na vijana wengi nguvu zao za kiume zimehamia kwenye pesa 😁😁😁
 
Back
Top Bottom