Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,491
- 12,145
Mimi nampenda Mungu, Familia na Pesa tu. Kumpenda mwanadamu mwingine na kumpa nafasi moyoni ni kujiua
Familia yako au yenu?
Mimi nampenda Mungu, Familia na Pesa tu. Kumpenda mwanadamu mwingine na kumpa nafasi moyoni ni kujiua
heri umekua wazi pesa kiasi gani zinakutosha sassaKusoma hujui hata picha au wewe kipofu.
Nikupende umekuwa Mungu au Yesu wewe au wale walionileta duniani.
Hapa pesa mbele wewe ndo utafuata huna na upendo wangu hupati.
Brother, asikudanganye mtu humu ndani kwamba pesa ndo suluhu. Watu wanapesa zao na wanazitoa sana kwa women wao na bado wanasalitiwa kirahis tu na machizi wa kitaa. Huwezi ukapigana na hisia za mwanamke. Hivyo ukiona moyo wa mwanamke wako ume-divert, msindikize kabisaa asepe. So, unachohitaj ni kuomba Mungu tu upate yule ambaye atakupenda wewe kama wewe in such a way she can see the gold inside of you that no one else could see. Akikupenda kweli, muda wa kutafuta mchepuko atautumia kukurekebisha wewe ili umeet kile unachomis. Thats all.
Nadhani ni ile misemo ya watoto wa mjini, siku hizi wanasema mapenzi pesa sjui mapenz kitu gani! Kwamba maua mpelekee kipepeo sjui, romance mpelekee njiwa!
Lakini nnachotaka kusema hapa no kuwa ile role ya mapenzi kwishney kabisa, if still exists very rare and to very few human beings, men to women utulivu ziro hata kwa usiowafikiria unaowaona wametulia ubinafsi mwingi!
Hakuna shukrani! hakuna fadhila.
Unakutana na mdada unampenda,unaanza nae mahusiano, unamwonyesha total love, vety responsible love, highly committed! Unamjali kuanzia yeye hadi ndugu zake, humpi kupumua kwa kumwonyesha mapenzi mfululizo.
Inapokuja wewe unauhitaji hata wa faraja tu kutokana na matatizo ya kidunia labda unauguliwa na mama au mwanafamilia yeyote pale ulipozaliwa, unategemea atakuwa na wewe bega kwa bega, ndipo unakutana na vituko.
Inakatisha tamaa sana, kwani mapenzi tuyaonayo kwenye tamithilia hatujifunzi? Au hayawezekani? Kinachoshindikana ni nini hadi tuweke slogan ya kuvumili
Nitafutee mkuuu!
Niku'pm tuwasiliane mkuu

Shy land
sjakupata ulitaka kusema nn
My be the principal of nature, sjui tu Ney
Sometimes nyie ndo huwa sababub ya Kuvunjika kwa hayo mapenz, mtu ukimuonyesha mapenz cdhan kama atakuacha kirahc hivo bila sababu
heri umekua wazi pesa kiasi gani zinakutosha sassa
najua unatania angelita sidhani km uko seriousAliyekwambia pesa zinatosha nani????? Taja uwezo wako kiasi gani