RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,052
- 529
Nadhani ni ile misemo ya watoto wa mjini, siku hizi wanasema mapenzi pesa sjui mapenz kitu gani! Kwamba maua mpelekee kipepeo sjui, romance mpelekee njiwa!
Lakini nnachotaka kusema hapa ni kuwa ile role ya mapenzi kwishney kabisa, if still exists it's very rare and to very few human beings, men to women utulivu ziro hata kwa usiowafikiria unaowaona wametulia ubinafsi mwiingi!
Hakuna shukrani! hakuna fadhila.
Unakutana na mdada unampenda,unaanza nae mahusiano, unamwonyesha total love, very responsible love, highly committed! Unamjali kuanzia yeye hadi ndugu zake, humpi kupumua kwa kumwonyesha mapenzi mfululizo.
Inapokuja wewe unauhitaji hata wa faraja tu kutokana na matatizo ya kidunia labda unauguliwa na mama au mwanafamilia yeyote pale ulipozaliwa, unategemea atakuwa na wewe bega kwa bega, ndipo unakutana na vituko.
Inakatisha tamaa sana, kwani mapenzi tuyaonayo kwenye tamithilia hatujifunzi? Au hayawezekani? Kinachoshindikana ni nini hadi tuweke slogan ya kuvumiliana?
Unaweza hata ukamkuta mtu katika matatizo makubwa ukampenda kwa huruma na dhati, ukamtoa katika shida zake, sasa mwenzio hapo anahesabu ameukata, akishakaa sawa hapo hajishughulishi tena, hata kwenda kununua nyanya chungu sokoni nusu km atachukua bodaboda, hafanyi chochote kusave currance ila kutumia.
Amekuwa bize kufanya mambo ambayo hayana tija, kutafta marafiki wapya wa ile anayoiona kuwa ni hadhi yake ya sasa ambao hupoteza muda kufuatiliana maisha badala ya kufanya mambo binafsi. Hata mkizaa hajishughulishi na watoto utadhani amekuzalia wewe yeye hawamhusu.
NIMECHOKA!
Sasa ndugu zangu nitaftieni mke wa kuoa, tena napenda aliepitia shida za mapenzi ili nimfariji astawi, awe mzuri wa wastani tu hata akiwa na watoto angalau wasizidi wawili na tukiongeza mmoja wakutuunganisha tunapeta.
Nishaurini wanajamvi