mapenzi hayana undugu

mapenzi hayana undugu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,401
ndugu zangu watoto wenu wakipendana waacheni wawe huru na wala msiwaingilie kwani mmoja akihisi uhusiano kuvurugwa na ndugu au rafiki au jamaa huweza kuhisi usaliti na kuchukua maamuzi yasiyokuwa na busara. chezea mapenzi wewe.
 
Nimekusikia MKE WANGU, hata yule binti wetu wa kidato cha kwanza tusimuingilie katika mapenzi yake na yule muuza genge, si unakumbuka dada yake hatukumuingilia katika mapenzi yake na yulu muuza mitumba, alipofika kidato cha tatu takajaaliwa mjukuu na sasa mwanetu ni mama ntilie mashuhuri hapa mjini.
 
Huenda ilikuwa tupeleke hii kwenye jukwaa la mapenzi
 
Nimekusikia MKE WANGU, hata yule binti wetu wa kidato cha kwanza tusimuingilie katika mapenzi yake na yule muuza genge, si unakumbuka dada yake hatukumuingilia katika mapenzi yake na yulu muuza mitumba, alipofika kidato cha tatu takajaaliwa mjukuu na sasa mwanetu ni mama ntilie mashuhuri hapa mjini.

So critical.... Like t
 
Wajf wote @#^$@^@)*(& Kasoro MAMA Ngina.
 
Back
Top Bottom