Humu JF kuna watu wanamajibu ya ajabu sana hua sometimes naishia kucheka tuu,shosti Sky Eclat kuweli tusikate tamaa lakini mfano mie nna watoto 6 na usawa huu bado tuu nisosema sasa nitulie na wanangu au nirudi kwetu jiji limenishinda
nategemee bahati ya mtenda,kuna wenye bahati zao lakini sio yakulalia mlango wazi lol.....