Mapenzi hayachagui

Wanawake wa ki Tz Buana shida kweli...!!! Wanapenda vya Kitonga sana. Wenawatia Moyo kwa kusubiria wanaume waje wawaoe badala kuwatia Moyo wapambane na Hali zao ili wawe na maisha Yao binafsi na sio maisha tegemezi ss ikitokea na huyo akimuacha...?
Pambana na Hali yako
Mwanaume Mashine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu tutafuata ushauri wengine tumetoka pwani kulelewa na mwanaume ni nurture yetu
 
Yaani, kama huyu dada ndugu wa mume wote walifikiri amemloga ndugu yao, ghafla anapata mwanaume anamaisha yote aliyokuwa anayaota.

Watz tunaishi na tunaamini Katika familia na jamii. Kabla ya kufanya jambo mtu hujiuliza "familia itanionaje, jamii itanionaje?"

Kwa Wenzetu nchi zilizoendelea mtu hujiuliza, "Je nafsi yangu imelizika? Kwa kufanya Hivi nitapata 'peace in mind'?"
 
Watz tunaishi na tunaamini Katika familia na jamii. Kabla ya kufanya jambo mtu hujiuliza "familia itanionaje, jamii itanionaje?"

Kwa Wenzetu nchi zilizoendelea mtu hujiuliza, "Je nafsi yangu imelizika? Kwa kufanya Hivi nitapata 'peace in mind'?"
Ni kweli mkuu lakini pia kumbuka kwetu sisi familia ndiyo social security net, ukiugua, ukifukuzwa kazi, ukipata majanga yeyote unakimbilia kwenye famila yako.

Wenzetu wanauwezo wa kusema sitaki kumuoana mama yangu hata akiwa mgonjwa mahututi hospitali na social worker akawa assigned kuchukua majukumu yake yote kama binadamu.
 
Mimi hiyo imetokea kwa ndugu yangu kabisa baba mdogo wangu wa kuunga undugu wa kabila yani mkewe alivyokua anampa vipigo mpaka na chupa anampasua, ukiambiwa yule mama alipo sasa hivi acha kabisa hakuna aijuae kesho.

Sent From Heaven
 
Sky Eclat [emoji4]

Kuna kitu jamaa ameona kwa huyo mwanamke ambacho hawezi kukipata kwa mwanamke mwingine yeyote.

" Loyalty "
 
Wanawake walivyo wa ajabu utasikia ooooh "polisi kaja kuomba msamaha nipo njia panda naombeni ushauri" mara wamerudiana.
 
Nimeipenda.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngoja niwe nashinda kituoni kila siku

Miss,

Relax, ukikamia sana hutapata mr right. Yaani usilazimishe au kubadili life style yako uli upate mwenza. Utakua unapretend. Si unaona mwalimu hakwenda 5* hotel au car wash au garage ili akutane na mr benz owner toka ughaibuni.

Just be you, be miss right and mr right is somewhere looking and waiting for miss right.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…