Kwahiyo alipomaliza kusononeka akakubali wakaoana ama bado katia ngumu hakuna kuoa mwenye watoto?
Nakupndea apo yaan stori juu ya stori, maisha ako kam muvi vile sky nakuelew sanNdoa ilifungwa achana na mapenzi bwana. Si ajabu mama alishaandaa ka binti kijijini kwajili ya mwanae leo analetewa mwanamke na watoto wanne.
Wameshashukuru kwa kuwatia moyo na kwa mamlaka niliyo nayo kuanzia leo nakuteuwa kuwa Mwenyekiti wa Kikundi cha Maombi cha JF. Mchakatao wa kumpata mweka hazina unaendelea. Hivyo uteuzi wako ni kuanzia leo tarehe 15/08/2017. Pamoja na majukumu mengine utasimamia masuala yote ya maombi pasipo ubaguzi wa aina yoyote na kusajili wapendwa ambao wanatafuta waume na wale ambao wanasumbuliwa na mkato wa tamaaHuyu shost ni mwalimu wa primary, alifunga ndoa na mpenzi wake wa tangu secondary, walipomaliza form four A, mmoja alikwenda teaching mwingine alikwenda chuo cha Polisi Moshi. Baada ya kumaliza mafunzo walianza kazi na kutimiza ndoto yao ya kufunga ndoa.
Sasa bwana wamehamishiwa Dar kutoka mkoani, maisha wamepata watoto wanne. Mwanaume ameanza kuwa kijogoo, mara haonekani nyumbani wiki, shost anajianga na mshahara wake na watoto wanne haviendi. Mwisho mwanaume amemwambia yamekwisha kati yao atakua anasaidia matunzo ya watoto tu.
Shost kulia akifirika jiji la Dar hili na watoto wanne hajui ataanzia wapi, alipangisha vyumba viwili sehemu maisha yakaanza. Siku moja yuko kituoni anasubiri basi aende kazini kuna benzi imesimama, anapewa lifi, kumbe yule baba alikuwa anaumoa kila siku akipita asubuhi, waliongea na kumpeleka mpaka shuleni kwake.
Baba yule alikuwa na maisha yake, aliishi nje ya nchi muda mrefu ndiyo amerudi nchini, hata mazingira hayajui vizuri lakini alijenga nyumba maeneo yale akiwa ughaibuni na ndiko anakokaa. Shost kumueleza maisha yake, basi mwanaume amefika bei, amemhamishia shost na watoto nyumbani kwake. Shost ananiambia kwa mara ya kwanza anapelekwa dinner 5* hotel na watoto wake wanabaki kushangaa.
Mwanaume amefika anataka kuoa, kasheshe mama wa mwanaume kusikia huyo mchumba wa mwanao ana watoto wanne amesononeka sana. Lakini ndiyo mtoto wake ameamua.
Kwa wale waliokata tamaa za maisha, hujui Mungu amekupangia nini mbele, wewe pigana tu.
Yaani, kama huyu dada ndugu wa mume wote walifikiri amemloga ndugu yao, ghafla anapata mwanaume anamaisha yote aliyokuwa anayaota."Nothing is good or bad but your thinking make it so"
Wenzetu Uganda wanawake wenye watoto hawana unyonge kama Hapa Tz. Mtu kuoa mwenye Mtoto ni FAHARI.
siku zote wewe story zako ni za hivyo tu, inaonekana haujaolewa na unatamani kuolewa? kuwa muwazi, tangaza nia basi.Huyu shost ni mwalimu wa primary, alifunga ndoa na mpenzi wake wa tangu secondary, walipomaliza form four A, mmoja alikwenda teaching mwingine alikwenda chuo cha Polisi Moshi. Baada ya kumaliza mafunzo walianza kazi na kutimiza ndoto yao ya kufunga ndoa.
Sasa bwana wamehamishiwa Dar kutoka mkoani, maisha wamepata watoto wanne. Mwanaume ameanza kuwa kijogoo, mara haonekani nyumbani wiki, shost anajianga na mshahara wake na watoto wanne haviendi. Mwisho mwanaume amemwambia yamekwisha kati yao atakua anasaidia matunzo ya watoto tu.
Shost kulia akifirika jiji la Dar hili na watoto wanne hajui ataanzia wapi, alipangisha vyumba viwili sehemu maisha yakaanza. Siku moja yuko kituoni anasubiri basi aende kazini kuna benzi imesimama, anapewa lifi, kumbe yule baba alikuwa anaumoa kila siku akipita asubuhi, waliongea na kumpeleka mpaka shuleni kwake.
Baba yule alikuwa na maisha yake, aliishi nje ya nchi muda mrefu ndiyo amerudi nchini, hata mazingira hayajui vizuri lakini alijenga nyumba maeneo yale akiwa ughaibuni na ndiko anakokaa. Shost kumueleza maisha yake, basi mwanaume amefika bei, amemhamishia shost na watoto nyumbani kwake. Shost ananiambia kwa mara ya kwanza anapelekwa dinner 5* hotel na watoto wake wanabaki kushangaa.
Mwanaume amefika anataka kuoa, kasheshe mama wa mwanaume kusikia huyo mchumba wa mwanao ana watoto wanne amesononeka sana. Lakini ndiyo mtoto wake ameamua.
Kwa wale waliokata tamaa za maisha, hujui Mungu amekupangia nini mbele, wewe pigana tu.
doh...kauzu zaid ya dagaaHata mume akija kupiga magoti sirudi