Mapenzi hayachagui umri

Mpaka nguo ilikuwa salesale, upon time ilikuwa full shangwe aseee!!
 
Hii ni changamoto kwa kizazi cha kidigitali.
 
Kwa dunia ya sasa ivi...hakuna kitu km icho kabsa 100%
 
Sasa hayachagui vp wakati unaona hao washazeeka pamoja
 
Kizazi hichi hakuna anaetaka uzee kila mmoja anataka aendelee kuitwa baby.....Watu wanashinda gym na kupambana na makeup na maviatu yenye visigino virefu hadi balnce wanakosa kabisa ya kutembea ila wanapambana tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…