Mapenzi hayachagui status

Mimi ni Mwanaume lakini wakati namchagua huyu niliyemuoa nilivutiwa na 1.mke wangu ni mtu wa dini sana
2.mke wangu ni msomi na mchapakazi
3.nilivutiwa na wazazi wake maana nilijua nikimuoa huyu na wazazi wake ndio wangekuwa wazazi wangu automatically. Kama wazazi wake wangekuwa watoto wa mjini, ningempotezea
4.mke wangu ana uzuri wa kawaida tena sana
N.B:kabla ya kuoa nimetembea na kila aina ya warembo ambao mke Wangu niliyemuoa ameachwa mbali sana kwa uzuri na hata yeye anawajua na anawakubali.
 
Ni kweli mkuu uzuri na mke si sura ni tabia wahenga walisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…