love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
nice sunday wana jf.
Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakin gafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake anaweza toka nje kupiga story na rafik zake na akaniacha ndan.no sms kama zaman wala hana mda hata wa kutoka na mim.na hata fb yake hataki nijue password yake.sina aman na mahusiano haya.kweli ana pesa,mtanashati lakin sioni raha ya mahusiano.nikimuliza ananiambia dada zake wamegombana nyumbani ndo mana amekuwa hivyo.lakin sidhani kama ni sababu,nisaidieni cha kufanya wana jf nina mawazo sana...
Umeshampa tamu?
Alikutamani huyo' amepata alichotaka hana mda tena nawew! Kama vp nawewe mpotezee, andika umeumia tu' kuanza upya sio ujinga!! Wakati mwingine mjue mtu vizuri kabla haujafanya maamuzi!
Pole na kila lakheri!!
Alikutamani huyo' amepata alichotaka hana mda tena nawew! Kama vp nawewe mpotezee, andika umeumia tu' kuanza upya sio ujinga!! Wakati mwingine mjue mtu vizuri kabla haujafanya maamuzi!
Pole na kila lakheri!!
yes imepita kama siku tano tu.
sa mnajuaga hela na utanashati ndo mapenzi... unalooo
Ndo mara ya kwanza kuonja tam yako ndani ya miezi miwili?
yes imepita kama siku tano tu.
yes imepita kama siku tano tu.
keshapata utamu wako hakuhitaji