Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,100
- 831,745
Inawezekana kabisa ni video ya mchongo lakini nyuma yake imebeba uhalisia mwingi na fundisho kubwa
. Mwanadada kafanya fumanizi na panga mkononi
. Hakumgusa mwanamke mwenzake bali bwanaake ambaye alikula bonge la kelebu
. Mdada aliyefumaniwa alitimua mbio kali Sana
. Mfumaniaji kajaa utemi kampokonya mwamaume kila kitu kisha kamtimua
Je unaweza kuoa mwanamke kama huyu?😂
NB: inawezekana jamaa ni marioo na mwanamke ndio breadwinner wa familia
www.facebook.com

45M views · 344K reactions | Lo encontró con otra y miren lo que pasó #lifestyle | Show Maikol
Lo encontró con otra y miren lo que pasó #lifestyle