Jamani wadada ni vizuri kutumia kucha wakati wa kugegedana lakini sio kuparuana kiasi hiki.
Kijana wangu mmoja jana karudi hom na michirizi kama amelaruliwa na chui..!!
Kumuuliza kisa mgegedo.
Wadada tumieni kucha vizuri bana tunaumizana ivi jamani
Ha ha ha uuupsi sasa hizo za kucha tutaziiteje ...kucha bite or love bite
wamerudisha vitu vyako?hahahahahaa poleni kitu crush tuu laiiinii... baridiiiii hahahahahahahaaa wacha nijilie raha mie looh
mbona sie mnatung'ata meno ya pua hatusemi wala kulalamika?
mtu mpaka unawaza utawaangalia vip watu na mimeno iloyojichimba...tena msiseme kbs
Nyie ndo mnaongoza kung'ata wenzio...mmebadilika sana sikuhizi...ahh
Nyie ndo mnaongoza kung'ata wenzio...mmebadilika sana sikuhizi...ahh