MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Hata hilo nalo unataka ushauriwe?
Hii tabia inatudhalilisha sana wanaume, sio siri.
Hata hilo nalo unataka ushauriwe?
Wanatumia jf kufikiri hawa wavulana maana wanaume tunatoa maamzi kwa kutumia vichwa vyetu
Daaahhhhhh broo hapo hakuna ushauri... Huez shindana na afisa mahisabati...... We kama mzee wako anashamba kaombe akukatie kipande cha urithi ujishughulishe na kilimo tu..... Maana unanyota ya Mbigili na Magugumaji