Mapenzi Chumbani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi Chumbani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mchagaa, Mar 4, 2009.

 1. M

  Mchagaa Member

  #1
  Mar 4, 2009
  Joined: Jul 31, 2007
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,160
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Anyway though looks like a joke, lakini yaliyomo ndani ni mafundisho mazuri sana kwenye mahusiano ya ndoa.....! I don't think ni kitu cha kuchekesha kivile bali cha kufundisha!

  Nilimsikiliza Mch. Rwakatare wakati akifundisha wanandoa kwenye Semina mwaka huu ambapo mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg Patrick Tsele alikuwa mgeni rasmi pia Waziri Simba alihudhuria, she said quite the similar words!

  So mwenye macho tazama vizuri na unatishe hayo kwenye ubongo!

  Cheers
   
  Last edited: Mar 5, 2009
 3. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Very nice article yakuingwa kwa kweli! Mbona ndoa zitakuwa ndoa bora na sio bora ndoa?
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Sikujua kama huwa unasali kwa Mh Dr Rev Getrude Rwakatare!
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...hiyo ya mwanamama kulala naked with a bum touching a partner duh...:D no wonder TiGO 'express yourself!'
   
 6. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 989
  Likes Received: 611
  Trophy Points: 180
  Mbona ni mafundisho ya kawaida kwa wanaotaka kufunga ndoa kanisani na inasisitizwa sana ili kudumisha ndoa. Sex in marriage is holly, blessed by God.
   
 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,160
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ahaaaha ahaaaaah mkuu Masa,

  Not really, hawa siku hizi wamesogeza huduma sana kwa kondoo waliopotea...huyu mama kila Alhamisi hurusha kipindi chake Channel 10 mkuu na Wednesday huwa tupo na mzee wa upako hapohapo channel 10! So huwa napenda kuwasikiliza siku mojamoja....mkuu!
   
 8. 3

  3 kids Member

  #8
  Mar 6, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nisamehewe kwa hili kama nakosea je huyo Rwakatare yake ni Ndoa Bora au Bora Ndoa,nauliza sbb najua kamkimbia mumewe Arusha.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  The last parts of the article shows the THE WHOLE THING IS THE URBAN LEGEND. Mnaopenda kuamini kila kitu goodluck.
   
Loading...