Mapenzi bwana

Mkubalie tu MKUU atakuwa anakupenda sana.
 
Wewe unakaa kwa shemeji sema una ndoto ya kuwa na duka la nguo, usione Soo muombe Shemeji msaada unaweza timiza ndoto. Onyo: Duka la nguo sio MB za kuingia JF.
 
Sijaelewa hata kidigo ulimtongoza JF akakukuta dukani akajua ni wewe ulimtongoza JF akakutafta kwa namba yako hata hujui alipata wapi.


Mmmh hz chai zingine jitahidini kuweka sukari
 
Wewe sio mtunzi mzuri wa hadithi
 
Chai ya moto sana hadi inaunguza mdomo mkuu
 
usimkubalie hawana huruma na hawaeleweki. siku moja tulimtoa mbio mwizi tukakutana na mdada katuelekeza kapita huku.baada ya kuanza kutoa kipigo yule dada '/jamani wana muua kaka wa watu. sasa hapo katuona na tofali na marugu alitalajia nini
 
Mkuu si yupo humu
 
Mwambie duka sio lako alikuachia mshikaji wako umuuzie. Baada ya kumwambia hivyo ukiona amekubali awe wako basi nawe mkubalie kinyume na hapo huyo ni mpigaji anataka akupige pesa zako.
 
alkuwa anakufkria huku masela wanam_mega nd amepata jibu kuwa mtoa mada nd mtu sahih kula kidog klchosalia
 
asilete upumbavu wake huo..nawe usilete ujinga wako wa kuuliza swali la kama umkubalie...kwanza swali lako laonesha hujielewi ulitaka kujinyonga alivokukataa...usiwe weak huyo kapenda mali zako hajakupenda wewe..kwanza unapata wapu ijasiri wa kufuatilia mwanamke anayejibu kwa dharau na kejeli hivo..eti hadhi
 
Hii ni promo tu waingie king wenye tamaa.
 
Mwambie duka sio lako alikuachia mshikaji wako umuuzie. Baada ya kumwambia hivyo ukiona amekubali awe wako basi nawe mkubalie kinyume na hapo huyo ni mpigaji anataka akupige pesa zako.

Kwani duka lenyewe analo sasa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…