PEVU HALISI JF-Expert Member Joined Dec 19, 2018 Posts 207 Reaction score 85 Dec 31, 2018 #1 Nimeisikia mara kadhaa hiyo kauli kwamba mapenzi bila ya uongo hayaendi au hayanogi. Kwa upande wako hiyo kauli imekaaje mdau??
Nimeisikia mara kadhaa hiyo kauli kwamba mapenzi bila ya uongo hayaendi au hayanogi. Kwa upande wako hiyo kauli imekaaje mdau??
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,928 Reaction score 134,017 Dec 31, 2018 #2 ni kweli kabisa na 2019 ndo TUNAANZA UPYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.!
PEVU HALISI JF-Expert Member Joined Dec 19, 2018 Posts 207 Reaction score 85 Dec 31, 2018 Thread starter #3 mbaga jr said: ni kweli kabisa na 2019 ndo TUNAANZA UPYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.! Click to expand... 😀😀 Aisee
mbaga jr said: ni kweli kabisa na 2019 ndo TUNAANZA UPYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.! Click to expand... 😀😀 Aisee
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 6,048 Reaction score 8,826 Dec 31, 2018 #4 si mapenzi tuu, tatizo kunawatu huwa hawako tayari kusikia ukweli na ukimwambia ukweli anaona wamdanganya ndo maana hudanganywa, mtu anaambiwa ukweli anasema acha kunidanganya weweee so kinachofuta anadanganywa anaona ndo sawa
si mapenzi tuu, tatizo kunawatu huwa hawako tayari kusikia ukweli na ukimwambia ukweli anaona wamdanganya ndo maana hudanganywa, mtu anaambiwa ukweli anasema acha kunidanganya weweee so kinachofuta anadanganywa anaona ndo sawa