well, ningetamani kujua life style yao, huwa wanakaa kila mtu kivyake au na wazazi? wanakazi? wanatoka out kidogo siku moja moja moja?, kama jibu ya hayo maswali ni ndio, then there is no true live, simaanish true love ni mapenzi ila kwa mtu ambae mna uhusiano wa miaka mitati, mko free na mna kipato, what else?? huyo bro aangalie, lazima atakuwa na marafiki wema wanaomsaidia kazi!!!! , na huyo dada anajiamini sana maana mahusiano ya sasa yanavyovunjika ovyo akama outbreak ya swine fluu.
Hapo hapendwi mtu, jamaa achape lapa tu! angekuwa anamfeel jamaa miaka mitatu yote angeshamuonjesha tunda otherwise anamuibia tu, yani wizi mtupu.
sana...baya ama zuri kakangu anasema kila siku amekuwa akililia tunda bila mafanikio mpaka akasema akipata mtoto lazima amwite tunda...
Dah ebwanee kaka ako hapo anaibiwa tu mwambie achape mwendo hapo huyu she ana jamaa mwingine ndo anajimegea na usikute ndo wamepanga mambo makubwa mbeleni bila kaka ako kujua vile vile naweza sema kaka ako ni Bushoke zezeta flani hivi kamfia sana demu huyo ndo maana anampa mistari kibao ya kumlainisha.
Hahaha! Mpwa umekonkludi kimtindo. Hivi kumfia mtu inakufanya uwe *****? Mi ndio maana huwa najiangaikia na mabaamedi wangu!
Kisanga cha ukweli
rafiki yangu tunasotea nae hapa alikuwa na ka binti karembo ,kapole na ka haja wamekaa nako takribani 4 years
lakini binti alimwambia mchumba wake yeye bado bikira kwa hivyo hawezi kutoa tundi na akahidi atampa zawadi pale tu wakifunga ndoa
jamaa akaamini na akawa anatutambia my wife to be ni mwali jamani yetu macho na masikio
siku zikaenda na kurudi binti akaanza kuumwa sana dalili za ujauzito ..samaki wabichi siwataki tena ,nataka senene kuwapata kasheshe
jamaa kashituka akamuomba wakapime jibu likawa ana mimba jamaa ya miezi 3 alichanganyikiwa vya kutosha ,jamaa akasamee yote na akamuomba binti watoe hiyo Preg ili waendelee na mipango ya harusi binti akasema ng'o basi nitakuoa hivyo hivyo binti akagoma eti anajiliza na kudai ni aibu ......X
...Huyo mwingine nae asijekuwa anauziwa mbuzi kwenye gunia
Kwanza kabisa nawapongeza kwa kukaa muda wote huo bila kuzini. Jamani tusiharalishe kuzini kabla ya ndoa kama ni lazima kwa wadhambi na warafi ni ngumu sana lakini kwa wenye misimamo inawezekana. Kwani mapenzi lazima sex? Kuna mambp mengine yanayotoshereza. Au ndo mapenzi na furaha ya maskini?
Hii ndio hali halisi, haya ya kusema tusubiri huwa hayana mashiko... unaua spontaneity, unaleta usually, principally, normally halafu hata ndopa yenyewe inakuwa very dry with too many principles to an extent hata mapenzi yanachuja
Huyo jamaa ni bora ajiangalie upya... kuna mwimbo wa banana unaitwa zoba, umebeba ujumbe tosha!!
Mtoto wa kiume kama huishi kwa machale basi wewe zuzu!.
Kuvumilia ni muhimu jamani nshwai kaa ten years kwenye mahusiano bila kumega.Then, what did you get there so special?
Ulikuta rutuba imeongezeka?
Ulipewa zawadi?
Ulikuta bikira?
Ulikuta mbivu?
Ulikuta ladha ya chungwa, papai, limao, kachumbari, chenza, tikitimaji, au chili sauce?
Ulikuta uwanja wa nyasi bandia au za asili?
Tell me ulikuta nini ili na mimi nijfue kusubiri ten yeaaars
Then, what did you get there so special?Kuvumilia ni muhimu jamani nshwai kaa ten years kwenye mahusiano bila kumega.
Huyo Atauziwa mbuzi kwenye Gunia shauri yake
LAZIMA KUMCHECK huyo binti kwanza ili uweze kujua Je naniiiiiiiiiiiiiiiiii ipo au haipo.......
Unaweza kuoa haya manafika ndani kumbe mwenzako hana naniiiiiiiiii
ha haaaaaaaa, kaka mjini hapa, siku hizi hata bikra za kuchonga zipo, anagalia utaibiwa wewe.Huyo Atauziwa mbuzi kwenye Gunia shauri yake
LAZIMA KUMCHECK huyo binti kwanza ili uweze kujua Je naniiiiiiiiiiiiiiiiii ipo au haipo.......
Unaweza kuoa haya manafika ndani kumbe mwenzako hana naniiiiiiiiii