Wajameni nina kaka yangu ana mchumba wake wana miaka mitatu sasa kila binti akiambiwa tuoane anadai mapema sana...baya ama zuri kakangu anasema kila siku amekuwa akililia tunda bila mafanikio mpaka akasema akipata mtoto lazima amwite tunda...sasa hivi amekata tamaa kabisa na mapenzi na kufikia kuhisi beer ni faraja ya mafanikio la hasha.....nikasema niulize je yawezekana kukaamiaka yote bila ku do......
Nawapongeza kwa hili na jua jf wako 100/100
Kwangu mimi huwa nilikuwa na shangaa kabla ya kufunga ndoa ukiingia n kabinti kanadai mi siwezi ntaumia lakini anaingia mpaka guest ndani,...sasa wewe si mchunaji kweli??
karibu utoe maoni yako
Hao naona bado ni marafiki na kama ni wapenzi kweli kaka mtu hapo atakuwa anasaidiwa..
Kwanza kabisa nawapongeza kwa kukaa muda wote huo bila kuzini. Jamani tusiharalishe kuzini kabla ya ndoa kama ni lazima kwa wadhambi na warafi ni ngumu sana lakini kwa wenye misimamo inawezekana. Kwani mapenzi lazima sex? Kuna mambp mengine yanayotoshereza. Au ndo mapenzi na furaha ya maskini?
Kwanza kabisa nawapongeza kwa kukaa muda wote huo bila kuzini. Jamani tusiharalishe kuzini kabla ya ndoa kama ni lazima kwa wadhambi na warafi ni ngumu sana lakini kwa wenye misimamo inawezekana. Kwani mapenzi lazima sex? Kuna mambp mengine yanayotoshereza. Au ndo mapenzi na furaha ya maskini?
ukiona manyoya, ujue wameshakula!!!:d
na ukiona unyao..ujue wamesha kanyaga....
..........
Baada ya muda yule dada akafunga ndoa na huyu mlokole mwenzake, kumbe yule dada alikuwa tayari kanasa mimba ya muhindi. Wamekaa kama miezi miwili kwenye ndoa dada kitumbo kinajitokeza, mume anashangaa mwenzanke kapata wapi mimba!!!Kwenda kupima mimba ina miezi 5, ikabidi ndoa ife.
Hivyo huyo kaka awe makini, yeye atakuwa anasubiri kumbe mwenzake sio mwaminifu.
Hakuna anayehalalisha kuzini hapa ila hali halisi ndo inavyo onesha kwamba watu wanasubiri hadi siku ya ndoa huku kila mmoja akimega au kumegwa nje.Mapenzi si lazima sex ila inategemeana na kama wote wanakubaliana na hilo na kama unadem wako unasubiri hadi siku ujue anasafisha nyota huku we unapiga miayo mingi.
watu mna misemo humu! lol mkaongeze hizi methali kule .Mbaya zaidi inakuwa kama ndio unahudumia mtoto kwa kila kitu....halafu ndio unagundua kumbe wakati unalisha ng'ombe majani wenzako wanakamua maziwa!