verified user
Member
- Jan 6, 2014
- 35
- 2
^^
Ndoto zipi zinaongelewa hapa?
^^
Za kuota unakimbizwa na jini ...!!!!!!!!
^^
Ha ha haaa halafu jini linaogopa kugongwa na gari, hapo hapo unavuka upesiii ndo unapendwa na jini linakupa hela
^^
:A S-coffee::A S-coffee:
H,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaa!!!!!!!!!
Jini linaogopa gari wakati linaweza hata kupaa angani ...!!!!!!
^^
Hujaona bongo movie wewe! Jini linakimbiza mtu, yule mtu akikatiza kwenye magari, linaogopa kugongwa!
Halafu utaambiwa WATCH OUT part 2
teh teh
Kupendwa na jini la kibongo raha, mkikosana tu wahi foleni za magari
^^
naomba!!!