Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,918
- 8,713
Kuwa nae mmoja ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Hakika umenena, hata sisi vidume kuwa na demu mmoja hilo ni kosa la jinai..
Evelyn Salt ameshasema mapenzi ni miti...
Kuwa nae mmoja ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
....................
ujumbe umefika
Mimi Nimekuelewa mnoooo! Na ninakuunga mkono! Kufanyana ndo mapenzi
We jifiche tu😶🌫️
Niko mawinguni au bafuni hapa?We jifiche tu
Kitandani 😍😍Niko mawinguni au bafuni hapa?