Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,245
- 2,128
Ila wanawake nyie...
hah hata haeleweki
Nani kakufa???Daah kumbe amefariki. Daahhh Alazwe mahali pema peponi

Rafiki yake mtoa mada. Daahh alikuwa charming sana.Nani kakufa???![]()
![]()
Yani nimeumia Sana Pole Sana mkuu!
umeumia tena!!!! ha ha haaa!!! baadhi ya watz bwana!!!Yani nimeumia Sana Pole Sana mkuu!