::
Si vema kuona kuwa wanaume wote watakuwa kama huyo.
::
Unahitaji yafuatayo
1 Mapumziko ya hisia
2 Kujua unaendana nae kimapenzi kabla hujazama kwake (naweza kukusaidia kwa hili ukipenda.)
3.Tofautisha maisha kuwa una haki ya kupendwa na utapata furaha ya chozi ulilopoteza
=
Hapo mwisho umenena vema ya kwamba umepima na umekuta uko salama shukuru Mungu wako hata kwa kukuwezesha kuvunja hayo mahusiano, ila kusema kwamba mapenzi wewe basi huo ni uongo wa mchana kweupe nadhani baada ya mwezi huu kuisha utakubaliana na mimi na huenda utakuwa tayari na mahusiano ya kimapenzi na mtu mwingine.
mtafute mwananthropolojia atakusaidia umsahau huyu jamaa.Habari zenu wana mmu? kilichonifanya adi niseme maneno haya ni maumivu makali nnayoyckia moyoni mwangu, nlikua kwenye mahusiano na kijana ambae nilimpenda sana kupita chochote duniani pamoja na mengi aliyonifanyia niliyavumila na kila cku nlikua nikiamini ipo cku atakuja kujua ni kiasi gani nampenda na thamani nnayompa maishani mwangu lakini kumbe ilikua ni kutwanga maji kwenye kinu badala yake niliambulia ma2si,dharau na manyanyaso ya kila aina ila kwa jinsi nilivyo kichwa ngumu bado nlijipa moyo ipo siku atabadilika. Ila kubwa kuliko ni hii nimekuja ana wanawake kila kona ya mtaa na mmoja wao ana mimba kubwa ya kujifungua na hana analomjali kwa lolote na nlipomuuliza cna nlichoambulia zaidi ya majibu ya karaha.Roho inaniuma adi natamani nipotee katika ulimwengu huu napitia kipindi kigumu sana katika maisha yangu mwenzenu cjawai kuwaza kama mapenzi yanauma kiasi iki. nachomshukuru mungu nimepima na kugundua nipo sawa namuomba mungu 2 nieze kumsahau kwani naona kila cku znzvyozidi kwenda maumivu ndo yanazidi wala cpati haueni!
When we think we have been hurt by someone in the past, we build up defenses to protect ourselves from being hurt in the future. So the fearful past causes a fearful future and the past and future become one. We cannot love when we feel fear.... When we release the fearful past and forgive everyone, we will experience total love and oneness with all.
asante kwa ushaur ila kwa swala l mahucano hapana kwa kweli nahisi itachukua mda sana!
When we think we have been hurt by someone in the past, we build up defenses to protect ourselves from being hurt in the future. So the fearful past causes a fearful future and the past and future become one. We cannot love when we feel fear.... When we release the fearful past and forgive everyone, we will experience total love and oneness with all.
Habari zenu wana mmu? kilichonifanya adi niseme maneno haya ni maumivu makali nnayoyckia moyoni mwangu, nlikua kwenye mahusiano na kijana ambae nilimpenda sana kupita chochote duniani pamoja na mengi aliyonifanyia niliyavumila na kila cku nlikua nikiamini ipo cku atakuja kujua ni kiasi gani nampenda na thamani nnayompa maishani mwangu lakini kumbe ilikua ni kutwanga maji kwenye kinu badala yake niliambulia ma2si,dharau na manyanyaso ya kila aina ila kwa jinsi nilivyo kichwa ngumu bado nlijipa moyo ipo siku atabadilika. Ila kubwa kuliko ni hii nimekuja ana wanawake kila kona ya mtaa na mmoja wao ana mimba kubwa ya kujifungua na hana analomjali kwa lolote na nlipomuuliza cna nlichoambulia zaidi ya majibu ya karaha.Roho inaniuma adi natamani nipotee katika ulimwengu huu napitia kipindi kigumu sana katika maisha yangu mwenzenu cjawai kuwaza kama mapenzi yanauma kiasi iki. nachomshukuru mungu nimepima na kugundua nipo sawa namuomba mungu 2 nieze kumsahau kwani naona kila cku znzvyozidi kwenda maumivu ndo yanazidi wala cpati haueni!
Uachege kulia lia mtoto wa kike.
Dunia hii ukiwa mnyonge utanyongeka haswaaa i.e utateseka sana ukiacha hizo hisia zikutawale!!
Kubali matokeo, chapa lapa kiroho safiiiiiiii . . . hilo nalo liache lipite!
halaf wewe nakutafta bana,mpk leo faragha hupatikan?
naa, ts better to die free rather than to live as slaves, potezea! mbona wanaume 2po kibao.
Ni wewe tu na juhudi zako!
unanipandisha hamasa unajua mtoto,usije ukanipiga pending mwaka moja ,mi siku hizi sipend hizoo!
Hata mie sipendi nyie mnaoiba tunda la wenzenu tena msalani.
lol ndio imekua fimbo ya kunichapia sasa!