Mapenzi baharini

Ila mambo ingine tuwe tukifikiria kidogo. Umekuwa samaki??? Miye nikifikia mshindo huwa nahema kwa nguvu sana tena haraka sasa, nikiwa huko chini kwenye maji, si binti wa watu atajikuta na RB ya mada jamani? Ptuuu. Sifanyii humo majini. Kwenye ufukwe sawa lakini majini, nimekuwa nguva?
 
Mshana Jr
Wp Na Mtimkavu tunatishiwa huku jamanii??????
 
Na usijaribu maana hutaacha kuna radha ya kipekee
 
iman nyengine bana hamna lolote ila fanya yote sio saa saba mchana au usiku[/QUOTE]

Hapo cjakupata Mkuu,hebu nijuze kunani hio Saa saba,maana mim huwa nafanyga tu wala cjui saa wala muda
 
Mpendwa tutaenda wala usijali.

Ila umekuwa adimu mpendwa. Why

Nilipatwa na majanga tu ndugu mpaka nikatamani Mungu achukue roho yangu nipumzike dunia but now am orlyt
 
Nilipatwa na majanga tu ndugu mpaka nikatamani Mungu achukue roho yangu nipumzike dunia but now am orlyt

Pole mpendwa,
Nliona kimya nkatamani nikuje pm, but nkawa sina kibali. Nkawa nasali na kuomba tu urudi salama,
Mungu ni mwema.
 
Dah humu kuna mada za kufikirika kama fly over kujengwa simiyu.
 
Pole mpendwa,
Nliona kimya nkatamani nikuje pm, but nkawa sina kibali. Nkawa nasali na kuomba tu urudi salama,
Mungu ni mwema.

Amen!Mungu wetu anaishi mpendwa, asante kwa maombi yako yamekuwa msaada wa mimi kusimama tena.
Mungu akubariki
chumbani wakaribishwa wakati wowote
 
Hahahahahaha! My ribs,
 
Amen!Mungu wetu anaishi mpendwa, asante kwa maombi yako yamekuwa msaada wa mimi kusimama tena.
Mungu akubariki
chumbani wakaribishwa wakati wowote

Ikiisha sabato nitakaribia,...jumapili
tutakutana baharini kule...
Usisahau,
 
Mapenzi baharini ni mtungo huo majini vibwengo mashetani mapepo yootee hayo nayo yatafanya pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…