Mapenzi baharini

Mapenzi baharini

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
278
Hawayuni?

Kipindi hiki cha likizo ndefu Kenya na haswa watu wanaposherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya watu wengi hupenda kutembea baharini kama Mombasa.

Wengi hupenda kuogelea na wapenzi wao na hata wengine kufikia hatua ya kutaka kufanya mapenzi baharini tena ndani ya maji.

Nimesikia ya kuwa mwanamke akifanya mapenzi baharini na apate mimba, mtoto huyo huwa na mapepo, au hata kuwa na akili za kishetani shetani kwa sababu bahari imejaa majini, mapepo na hata mizimu.

Hivi hizi ni fununu za ukweli au ni vioja tu wakuu?
 
dwuh... mapenzi ndani ya maji!!? kweli uzee umenijia vibaya sikuwai kuliwaza hili
 
Ukiingia tu baharini maji yakigusa naniliu ni full genye
 
Watu wanaoishi nje ya Bara la Africa pia wanafanya mapenzi baharini...... Je, na watoto wao wana mapepo?
 
vipi mkuu kwenye swimming pool je?!
 
Hawayuni?

Kipindi hiki cha likizo ndefu Kenya na haswa watu wanaposherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya watu wengi hupenda kutembea baharini kama Mombasa.

Wengi hupenda kuogelea na wapenzi wao na hata wengine kufikia hatua ya kutaka kufanya mapenzi baharini tena ndani ya maji.

Nimesikia ya kuwa mwanamke akifanya mapenzi baharini na apate mimba, mtoto huyo huwa na mapepo, au hata kuwa na akili za kishetani shetani kwa sababu bahari imejaa majini, mapepo na hata mizimu.

Hivi hizi ni fununu za ukweli au ni vioja tu wakuu?

Hii kali pengine ya kufunga mwaka 2015
 
Anakuwa anaakili za samaki je mkifanya kwenye mvua atakuwa na tabia za kihindi hotaehotae au vipi

iman nyengine bana hamna lolote ila fanya yote sio saa saba mchana au usiku
 
Back
Top Bottom