Mapenz

Mapenz

humiebird

Senior Member
Joined
Dec 17, 2017
Posts
112
Reaction score
81
Wazima humu ndani
Mie naombeni kuuliza ivi inakuwa je unaakaa na mtu kwenye mahusiano alafu mkiachana unamloga?????
 
hivi zama hizi bado kuna watu wa namna hiyo?
 
Hahaahahhaha nimecheka kifal hat mm naloga tu hamna namna
 
Kama hajaridhia kuachana na wewe inakuaje! Au ulihadi makubwa unategemea nini. Watu tunatofautia kwenye kila kitu
 
Kuachana hakupo, Kama umemtumia mwenzako halafu umemuacha, wacha akuroge tu.
 
Mi nililogwa asee...wanaume kiboko! Sitaki hata kukumbuka
 
Back
Top Bottom