mapenz siti moja ndani ya basi

mapenz siti moja ndani ya basi

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,960
hallo!!!
**huwa nikiwa nasafiri either route ndani ya mkoa ama mikoani,nikikaa na mwanamke mrembo tutaishia kuwa marafiki kama ni route ndani ya mkoa ila kama ni nje lazima tu atakuwa mpenz wangu**

sijajua logic iliyekuwapo in between it seems when two sex stay long together in a sit for a long time they share some feelings
 
Mkuu ni wangapi mpaka sasa hv umewapata kwa mtindo huo?
 
mkoa 8 ndani marafiki 22 kati ya 22 ,12 wakawa wapenz 10 marafiki ,kati ya 8 ,4 nimepiga,kati ya 12 sijaacha hata moja

ila nimetubu koho koho
 
Kijana ongeza bidii. Hiyo idadi ni ya madogo wa A level.

nagari yangu nakaa na mchuchu wangu kwahiyo nimepotezeaga hizo mishe ila naomba unipe level za phd
 
Kama hizi makitu zingekua na kemikali kuna watu tungeshalipuka kwa kumix..

Ebu jiulize kama we unafanya hivyo na huyo ule kutana nae ni hivyo hivyo mara idadi uliyoPiga na changanya na zake alizopigwa kuachilia mbali wamtaan...! Duuh!!! Tuko wangapi TULIZANA
 
basi vizuri, ongeza juhudi kijana, usiache utaumwa ujue, ongeza safari, na inaonekana una bahati kila ukisafiri unakaa na mdada? au unachonga dili na makonda? sipati picha siku ukikaa na bibi sijui ataishiaje na yeye.
 
mkuu mbona unaleta promo za matangazo kwenye TV
 
basi vizuri, ongeza juhudi kijana, usiache utaumwa ujue, ongeza safari, na inaonekana una bahati kila ukisafiri unakaa na mdada? au unachonga dili na makonda? sipati picha siku ukikaa na bibi sijui ataishiaje na yeye.

mkuu huwa nacheki listi nikiona majina ya wanawake napiga doria afu nakata ticket ,ila huku kwenye route za mjini nachagua niliyempenda
 
Katika kufanya safari zangu zoote tangu nasafiri kwenda shule hadi leo sijawahi kufanya kitu hiki.
 
Back
Top Bottom