mapenz hayana umri bana!

Lizee lina ny,ege kichizi haya ndo yanakuwa yanatania watoto mchumba wangu huku yamedindisha.
 
......inashangaza eeenh.............hakuna hata mmoja aliyefikira kuwa huyo awezakuwa binti yake, labda mjukuu wake!!!!!!
loh........vichwa viko full mapenzini eeenh!!!
(uuuwi msinirarue jamani)
 
Ulishawahi kumwona aliyefiwa kifuana au unasema tu.Pomoka mbele yake uone moto.

Asee siwezi kukubishia kwani inaelekea mwenzangu unajua zaidi uwezo wa babu, ulishawahi kupomoka mbele yake?
 
Mabuti ya babu yananikumbusha mbaaali kweli!
 
......inashangaza eeenh.............hakuna hata mmoja aliyefikira kuwa huyo awezakuwa binti yake, labda mjukuu wake!!!!!!
loh........vichwa viko full mapenzini eeenh!!!
(uuuwi msinirarue jamani)

Paloma unaogopa kuraruriwa eh?
Hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…