Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,286
- 13,579
Mimi niko nashusha Balimi zangu hapa counter.Tatizo lingine la K-Vant ni kupunguza nguvu za kiume.Ile kitu ndio mpango mzima na inaamka huna mning'inio kabisa yani saaaaaafi, na hapa niko ka grocery ka jirani yangu na wadau tunashusha tu hili dude na tumeagiza kitimoto kilo mbili