1 na 2 Muhimu sana maana watu wanaenda kuunganisha safari Azania au Tegeta kwa ndevu, hvyo kupata gari ya moja kwa moja itakua poa
Madale makumbusho zilikuwepo
Hiyo njia ya kupitia kinyerezi/ segerea bonyokwa kimara, itaua watu, kwanza jinsi ya barabara yenyewe ilivyo ina milima mikali sana haswa hiki kipande cha kujia kimara kutoka bonyokwa, magari mengi si mazima pia hata madereva ni hovyo sana wataua wao
Njia nne to kimara via matosa nayo ina milima iliyo simamia kucha sana pia barabara hii na hiyo ya kimara to bonyokwa nadhani mpaka njia panda segerea/kinyerezi ni rough road
Madale makumbusho zilikuwepo ila kazi ni asubuhi kupeleka watu na jioni kuwarudisha mchana kazi hamna

pia route ya tegeta-nyuki_ mbezi ndio imeua kabisa