JOYCE PAUL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 1,005
- 83
oya dogo kama unataka ukasome kasome tu mkulima achagui jembe...kila kitu ni kuweka juhudi tu,ila kama umetoka kwenye kutafuniwa materialS(spoon feeding) kama feza boys, st joseph, al muntazir usahau pugu maana utazungusha yaani utafail zerooo pale ni msuli wako binafsi.nyie ndo mnakuja kupangiwa kazi hoo eti kigoma pakoje matokeo yake mnajaa dsm bila kazi..kaoge kwenye pond ujifunze maishaJamani kwa aliyenaufahamu kuhusu pugu juu ya vigezo hivi naomba aniambie;
¤sehemu ilipo.mkoa,wilaya,kata,na mtaa
¤sare wanazovaa.
¤na lolote ambalo ungependa kunijulisha kuhusu shule hii.
Shukrani.!