Japan siku hizi ukicheza nao mechi zao zinakuwa ngumu Sana, usije ukasema umeshinda mbele ya Japan kama mechi haijaisha...Kuna wale Korea kusin wao wamekosa muendelezo Tu lakini toka mwaka 1986 Hadi Leo hawajawahi kukosa kushiriki...
Hako ka ivory kamechabangwa na mjerumani jana hiyoo😄 bora kaondolewe kabisa abaki morocco na egypt tu wanaweza kutuwakilisha afrika. Hao orange watatuaibisha tu
Hako ka ivory kamechabangwa na mjerumani jana hiyoo😄 bora kaondolewe kabisa abaki morocco na egypt tu wanaweza kutuwakilisha afrika. Hao orange watatuaibisha tu
Ni timu nzuri ila makocha wetu ndio tatizo, Pepe alitakiwa aingie mapema. Mchezaji kachoka hadi kushika magoti, wana hazina ya wachezaji webgi wazuri gane walitakiwa wanalize mapema.