Endeleeni kujiaminisha hilo. Mtasugua sana maana Magufuli ni Rais hadi 2025Nguvu za soda
Haaa. Lumumba moja iyoo. Hta kama akiwa raic milele kama mseven hakuna shida. Naomba turudi kwenye point ya mapato TRA.Endeleeni kujiaminisha hilo. Mtasugua sana maana Magufuli ni Rais hadi 2025
Sasa kuna hoja gani hapo? Hata kama tutakusanya bilioni 200 si ndiyo mapato ya mwezi? Kikubwa zaidi ni namna fedha hizo zitakavyotumikaHaaa. Lumumba moja iyoo. Hta kama akiwa raic milele kama mseven hakuna shida. Naomba turudi kwenye point ya mapato TRA.
Kuhama hoja ni ishara ya nini broo!Endeleeni kujiaminisha hilo. Mtasugua sana maana Magufuli ni Rais hadi 2025
Endeleeni kujiaminisha hilo. Mtasugua sana maana Magufuli ni Rais hadi 2025
Teeeeeeh teeeeeeeeh, uzi huu ni mwiba mkali kwa vijana wa lumumbaKumekuwa na maporomoko makubwa ya mapato ya TRA kutoka trilioni moja na bilioni mia nne Mwaka Jana wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani mpaka trilioni moja mwezi wa tano...ni wazi mwezi wa sita TRA watatangaza mapato ya bilioni 900....tunarudi kulekule kwa JK.
Ni ishara kwamba JK hakuwa mzembe bali mapato yalienda na upepo wa biashara,mwanzoni tuliaminishwa kwamba kuna wizi sijui wapi,sasa mbona na udhibiti wote ndani ya miezi sita mapato yameshuka kwa bilion 400? Zinakwenda wapi?zimepotelea wapi? Kuna mtu Mwenye ubavu wa kuzikosoa jitihada za kikwete kwenye kukusanya mapato ?NA aamke nimuone....tunarudi kwenye bilioni 900!!
The issue ni kuwa Mkwere na Magufuli wote sawa tuMkuu, hizo ni hisia zako tu ila ukweli unabaki kwamba TRA wanakusanya mapato kwa kuvuka malengo yao
Cc:LizaboniKumekuwa na maporomoko makubwa ya mapato ya TRA kutoka trilioni moja na bilioni mia nne Mwaka Jana wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani mpaka trilioni moja mwezi wa tano...ni wazi mwezi wa sita TRA watatangaza mapato ya bilioni 900....tunarudi kulekule kwa JK.
Ni ishara kwamba JK hakuwa mzembe bali mapato yalienda na upepo wa biashara,mwanzoni tuliaminishwa kwamba kuna wizi sijui wapi,sasa mbona na udhibiti wote ndani ya miezi sita mapato yameshuka kwa bilion 400? Zinakwenda wapi?zimepotelea wapi? Kuna mtu Mwenye ubavu wa kuzikosoa jitihada za kikwete kwenye kukusanya mapato ?NA aamke nimuone....tunarudi kwenye bilioni 900!!
Kwani nani kakudanganya kuwa Lizaboni anahitaji ukuu wa wilaya?Hivi wewe Lizaboni ulitelekezwa na baba yako utotoni? Mbona hupati ukuu wa wilaya miaka nenda miaka rudi?