Mapato ya ndani ya Kilindi yahamishe walimu saba Kilindi

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
857
1,006
Habari za jioni.

Naishauri Halmashauri ya Kilindi itumie mapato ya ndani ya Halmashauri kuwahamisha walimu wa Parakuyo primary school ambao wamehamishwa kwenda katika mashule mbalimbali kutokana na shule yao kutwaliwa na Handeni Mji.

Kitendo hicho kitawapunguzia mzigo mzito wa kujihamisha wenyewe ukizingatia watumishi baadhi walijihamisha wenyewe mwaka jana walipoletwa Parakuyo kituo ambacho hawakukiomba.

Mh.katibu tawala mkoa wa Tanga wahurumie hawa walimu waliopewa Uhamisho MAALUM.Wasikwepe kusema uhamisho wao kuwa ni maalum kwasababu wao hawarekebishi ikama bali shule yao imefutwa kuwa ya Kilindi fanyeni ubinadamu it's not fair kabisa.

This is not fair.
 
Tag mchengelwa.....yuke nkwe wa mama....labda atakurupuka nayooo.....
 
Back
Top Bottom