Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,233 Reaction score 38,632 Sep 25, 2014 #1 Mmmmh pengine nilipitiwa kama kawaida tff hutangaza mapesa ya mechi na kutokana na mchezo huu kuhusisha et tkts natumaini walifanikiwa kiasi embu tukumbushane ni sh ngapi zilipatikana jamani?? na vilabu wameambulia ngapiii
Mmmmh pengine nilipitiwa kama kawaida tff hutangaza mapesa ya mechi na kutokana na mchezo huu kuhusisha et tkts natumaini walifanikiwa kiasi embu tukumbushane ni sh ngapi zilipatikana jamani?? na vilabu wameambulia ngapiii
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,964 Reaction score 13,944 Sep 26, 2014 #2 Jamal Malinzi yumo humu atakuja ajibu.
cnjona JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 1,027 Reaction score 239 Sep 26, 2014 #3 Nadhan mahesabu ya kielektroniki hayajakamilika.
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,110 Reaction score 9,278 Sep 27, 2014 #4 Jamal Malinzi mkuu bado wanahesabu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016