Hivi karibuni nilipata fursa ya kukaa karibu na operators, mafundi ,drillers na madereva wanaofanya kazi kwenye kampuni za uchimbaji wa madini hapa nchini.
Nilishangazwa kubaini kwamba wengi wao mishahara na marupurupu yao ni kati ya 3M mpaka 10M kila mwezi . Lakini maendeleo waliyonayo hayaendani kabisa na ukubwa wa mishahara wanayopokea.
Hata standard za maisha yao ukilinganisha na watumishi wa umma au white collars wa private sector ambao mishahara yao ni kiduchu bado wanaishi vyema kuzidi hawa jamaa. Changamoto hapa itakuwa nini? Elimu ? Anasa? Mipango ?