EddyArt Member Joined Jul 26, 2024 Posts 48 Reaction score 76 Aug 12, 2024 #1 Weka oda yako mapema ujipatie picha ya kuchora uitakayo kwa bei nafuu sana.Karibuni🙂
VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,481 Reaction score 1,450 Aug 12, 2024 #2 EddyArt said: Weka oda yako mapema ujipatie picha ya kuchora uitakayo kwa bei nafuu sana.Karibuni🙂View attachment 3068205 Click to expand... Mbona ka vile umechora nyani!!!
EddyArt said: Weka oda yako mapema ujipatie picha ya kuchora uitakayo kwa bei nafuu sana.Karibuni🙂View attachment 3068205 Click to expand... Mbona ka vile umechora nyani!!!
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,758 Reaction score 11,415 Aug 12, 2024 #3 Bei nafuu nikuanzia sh ngap mkuu wangu.nikupe kazi ya kumdraft mwanangu picha km mbilii
EddyArt Member Joined Jul 26, 2024 Posts 48 Reaction score 76 Aug 12, 2024 Thread starter #4 Kwibohora said: Mbona ka vile umechora nyani!!! Click to expand... Work on progress broh ikikamilika ndio utakuwa na haki ya kuuliza hilo swali,karibu🙂
Kwibohora said: Mbona ka vile umechora nyani!!! Click to expand... Work on progress broh ikikamilika ndio utakuwa na haki ya kuuliza hilo swali,karibu🙂
EddyArt Member Joined Jul 26, 2024 Posts 48 Reaction score 76 Aug 12, 2024 Thread starter #5 edon66 said: Bei nafuu nikuanzia sh ngap mkuu wangu.nikupe kazi ya kumdraft mwanangu picha km mbilii Click to expand... Ni shilingi za kitanzania elfu ishirini tu bosi na inakuwa ndani ya frame yake kwa size ya A4.0685069818 karibu🙂
edon66 said: Bei nafuu nikuanzia sh ngap mkuu wangu.nikupe kazi ya kumdraft mwanangu picha km mbilii Click to expand... Ni shilingi za kitanzania elfu ishirini tu bosi na inakuwa ndani ya frame yake kwa size ya A4.0685069818 karibu🙂
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,758 Reaction score 11,415 Aug 12, 2024 #6 EddyArt said: Ni shilingi za kitanzania elfu ishirini tu bosi na inakuwa ndani ya frame yake kwa size ya A4.0685069818 karibu🙂 Click to expand... Sawaa bocc ntakaribia.ofc zipo wap
EddyArt said: Ni shilingi za kitanzania elfu ishirini tu bosi na inakuwa ndani ya frame yake kwa size ya A4.0685069818 karibu🙂 Click to expand... Sawaa bocc ntakaribia.ofc zipo wap
EddyArt Member Joined Jul 26, 2024 Posts 48 Reaction score 76 Aug 12, 2024 Thread starter #7 edon66 said: Sawaa bocc ntakaribia.ofc zipo wap Click to expand... Npo Ukonga,Dar es Salaam
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,879 Reaction score 14,701 Aug 12, 2024 #8 Technology imeharibu sana kazi za watu, Kuna app wanachora picha unaweza sema ni handmade kabisa
EddyArt Member Joined Jul 26, 2024 Posts 48 Reaction score 76 Aug 12, 2024 Thread starter #9 Mr mutuu said: Technology imeharibu sana kazi za watu, Kuna app wanachora picha unaweza sema ni handmade kabisa Click to expand... Sahihi mkali imepelekea soko limedidimia kwa kiasi kikubwa sana ila hakuna budi zaidi ya kupambana tuu,karibu.
Mr mutuu said: Technology imeharibu sana kazi za watu, Kuna app wanachora picha unaweza sema ni handmade kabisa Click to expand... Sahihi mkali imepelekea soko limedidimia kwa kiasi kikubwa sana ila hakuna budi zaidi ya kupambana tuu,karibu.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,312 Reaction score 55,969 Aug 12, 2024 #10 Hakuna picha hapo mkuu
EddyArt Member Joined Jul 26, 2024 Posts 48 Reaction score 76 Aug 12, 2024 Thread starter #11 mdukuzi said: Hakuna picha hapo mkuu Click to expand... Asante,karibu🙂
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,706 Reaction score 32,456 Aug 12, 2024 #12 Mr mutuu said: Technology imeharibu sana kazi za watu, Kuna app wanachora picha unaweza sema ni handmade kabisa Click to expand... Na ndio wengi wa hawa jamaa wanatumia. Nilimkamataga mmoja mlimani city siku moja
Mr mutuu said: Technology imeharibu sana kazi za watu, Kuna app wanachora picha unaweza sema ni handmade kabisa Click to expand... Na ndio wengi wa hawa jamaa wanatumia. Nilimkamataga mmoja mlimani city siku moja
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,706 Reaction score 32,456 Aug 12, 2024 #13 EddyArt said: Work on progress broh ikikamilika ndio utakuwa na haki ya kuuliza hilo swali,karibu🙂 Click to expand... Sasa si ungesubiri umalize uoneshe kitu kizuri mkuu?
EddyArt said: Work on progress broh ikikamilika ndio utakuwa na haki ya kuuliza hilo swali,karibu🙂 Click to expand... Sasa si ungesubiri umalize uoneshe kitu kizuri mkuu?
EddyArt Member Joined Jul 26, 2024 Posts 48 Reaction score 76 Aug 12, 2024 Thread starter #14 Kambaku said: Sasa si ungesubiri umalize uoneshe kitu kizuri mkuu? Click to expand... Ni kweli ila napendelea kuonyesha mtiririko wa kazi bosi,samahani lakini kama ntakuwa nimekukwaza na karibu sana🙂
Kambaku said: Sasa si ungesubiri umalize uoneshe kitu kizuri mkuu? Click to expand... Ni kweli ila napendelea kuonyesha mtiririko wa kazi bosi,samahani lakini kama ntakuwa nimekukwaza na karibu sana🙂