Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Posts
2,806
Reaction score
3,502
"Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi. Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani.

Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake. Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi.

Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi".

*C & P*
Kuna ukweli humu?

Hebu tufahamishane waungwana wa JF.

Bazazi Ubazazini Akibazazi

=======
 
Hadi BBC wameripoti muda huu huu. Dictator anakaribia kuangukia pua. Njemba zinakiwasha balaa huko
Screenshot_2018-07-18-17-00-50.jpg
 
Vita sasa havina maana,ni uharibifu wa resource na infrastructure tu.
Kazi ambao unaweza kufanywa na MTU mmoja ama wawili,kwa resource chache,unaifanya ifanywe na maelfu ya watu,kwa resource nyingi na bila guirentee ya kufaulu
 
Wakoloni wameshamchoka. Anageuka toilet paper soon. Pole Sana fidodido. You had your chance ya kuritire a hero but nope madaraka yalikulevya.
Wewe na mwenzio M7 mnadaigi ni quarter pin ya baiskeli na mtatoka kwa nyundo.. Haya sasa pambana kiume.
 
Vita sasa havina maana,ni uharibifu wa resource na infrastructure tu.
Kazi ambao unaweza kufanywa na MTU mmoja ama wawili,kwa resource chache,unaifanya ifanywe na maelfu ya watu,kwa resource nyingi na bila guirentee ya kufaulu
ngumu sana kumu-eliminate kagame kwa kutumia njia za kijasusi,ufaransa waliziondoa investments zao rwanda wana moango wa kuzileta tz..nilidhani wanaziondoa kimyakimya..his time is up!!..kayumba nyamwasa ni mtusi mwenzie,hapo kuna museveni,nkurunzinza,sijajua kabila yupo upande upi,kwa ujumla moto umewashwa
 
"Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi. Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani.

Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake. Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi.

Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi".

*C & P*
Kuna ukweli humu?

Hebu tufahamishane waungwana wa JF.

Bazazi Ubazazini Akibazazi
Yeye alianzia kaskazini Mashariki wenzake wanaanza kusini Magharibi, ngoja tuone hii movie
 
Naomba sana kwa God hii habari iwe kweli na Nkuruzinza na hao wafaransa wawasapoti hao waasi kumpiga huyu kagame kipigo cha mbwa koko wamtoe madarakani ili iwe fundisho kwa best ake Jiwe na marais dhalimu wote wa Africa wanaowanyanyasa wananchi wao kisa wana madaraka I hate Dictatorship
 
Itakuwa tayari labda kazinguana na wazee wa dunia, kwenye madini ya Congo labda apeleki mgao anapeleka kwa wachina.Yasijewakuwa ya sudani kusini,walisaidiwa na wazee wa dunia kujitenga ili apate mafuta,walipojitenga wakamkaribisha mchina kula wakawapiga chini wazee wa dunia. Wazee wa dunia wakawaambia tutawaonyesha Kazi tuwasidie kisha mtumwage hamtujui kumbe,wazee wakamwinua machier apambane na kiri,wamebakia mizozo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom