Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Ndio hapo sasa!!Si wamesema hakuna korona nchini kwetu?
Ndio haipo tunapima wanaingia wasije kuiketa na wanaotoka tnawapima kuwahakikishia kuwa mko vizuri tu nendeniSi wamesema hakuna korona nchini kwetu?
Takwimu ndizo hizo kuwa hakuna coronaHaisaidii kitu kama ni hivyo basi watoe na takwimu ili beberu arizike
Ndio maana tunaongeza screening,wakenya wamepanga kuvusha wagonjwa 1000Si wamesema hakuna korona nchini kwetu?
Soma Tangazo ulielewe, achana na heading ya uzi!Si wamesema hakuna korona nchini kwetu?