Mapaka ya Uswahilini bhana..

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Kuuna jamaa (Jirani) alitupa ndonga kwenye DUSTBIN ile asubuh baada ya mgegedo.. Kaenda kazini huku nyuma mapaka yakapita yakamwaga uchafu wote wa kwenye dustbin . Sasa ndonga zimepulizwa na upepo na zimezagaa uwanja mzima zikimsubiri jamaa arudi jioni kutoka kazini ndo azitupe....
 
Duh!
 
nimecheka sanaaaaa
navuta picha hapa huyo jamaa jana alikua bingwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…