toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 Apr 4, 2012 #21 Mshawa said: Kuna suruali za kike zimeingia mitaani ambazo zina vaccum (nafasi) ambapo baada ya kuvaliwa na ku~pump hujaa na kumwongezea mwili, (hips, mapaja) yake hivyo wakwere wa wa wanawake wakae sawa.... Click to expand... mapenzi ya siku hizi bwana, watu wanapendana kweli, au wanafanya ng*no?
Mshawa said: Kuna suruali za kike zimeingia mitaani ambazo zina vaccum (nafasi) ambapo baada ya kuvaliwa na ku~pump hujaa na kumwongezea mwili, (hips, mapaja) yake hivyo wakwere wa wa wanawake wakae sawa.... Click to expand... mapenzi ya siku hizi bwana, watu wanapendana kweli, au wanafanya ng*no?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,139 Reaction score 136,962 Apr 4, 2012 #22 Husninyo said: una kesi ujue Click to expand... Nimefanya nini Mwajuma? Unataka busu?
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,109 Apr 4, 2012 #23 Preta said: nilipata ajali ya kuanguka bafuni...... Click to expand... Teh teh teh Preta, are u serious?
Preta said: nilipata ajali ya kuanguka bafuni...... Click to expand... Teh teh teh Preta, are u serious?
Fazul Member Joined Apr 2, 2012 Posts 82 Reaction score 9 Apr 4, 2012 #24 Wana tumia pump ya baiskeli kuzifurisha au petrol station?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Apr 4, 2012 #25 Nyani Ngabu said: Nimefanya nini Mwajuma? Unataka busu? Click to expand... mi staki busu. Unajua mwenyewe ulichofanya.
Nyani Ngabu said: Nimefanya nini Mwajuma? Unataka busu? Click to expand... mi staki busu. Unajua mwenyewe ulichofanya.
Babkey JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 4,838 Reaction score 3,673 Apr 4, 2012 #26 ...du, kaazi kwelikweli.
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 10,048 Reaction score 9,342 Apr 4, 2012 #27 Husninyo said: we acha tu! Sahivi sijui tuje na maujanja gani wasistukie. Click to expand... Njooni mkiwa original.
Husninyo said: we acha tu! Sahivi sijui tuje na maujanja gani wasistukie. Click to expand... Njooni mkiwa original.
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Apr 5, 2012 #28 Shabhan said: teh teh akichojoa hizo nguo ukienda nae si inakua balaa kama ndicho kilichokuvutia? Click to expand... Atakwambia zima taa.....
Shabhan said: teh teh akichojoa hizo nguo ukienda nae si inakua balaa kama ndicho kilichokuvutia? Click to expand... Atakwambia zima taa.....
M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,155 Reaction score 1,866 Apr 5, 2012 #29 Weka picha
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Apr 5, 2012 #30 Mimi pia nazisaka kwa udi na uvumba
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Apr 6, 2012 #31 Ndo mlichobakiza kuwaza ngono tu.....no wonder nguvu za kiumeni zinawaishia ovyo ovyo tu!!
Fazul Member Joined Apr 2, 2012 Posts 82 Reaction score 9 Apr 6, 2012 #32 mjasiria said: Weka picha Click to expand... teh teh teh! picha ya mwenye amevaa hiyo suruali au suruali pekee? kwa mana mwenye ameivalia huwezi kutambua labda ukimvua .
mjasiria said: Weka picha Click to expand... teh teh teh! picha ya mwenye amevaa hiyo suruali au suruali pekee? kwa mana mwenye ameivalia huwezi kutambua labda ukimvua .