Mshawa JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 787 Reaction score 325 Apr 4, 2012 #1 Kuna suruali za kike zimeingia mitaani ambazo zina vaccum (nafasi) ambapo baada ya kuvaliwa na ku~pump hujaa na kumwongezea mwili, (hips, mapaja) yake hivyo wakwere wa wa wanawake wakae sawa....
Kuna suruali za kike zimeingia mitaani ambazo zina vaccum (nafasi) ambapo baada ya kuvaliwa na ku~pump hujaa na kumwongezea mwili, (hips, mapaja) yake hivyo wakwere wa wa wanawake wakae sawa....
Shabhan JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 236 Reaction score 102 Apr 4, 2012 #2 teh teh akichojoa hizo nguo ukienda nae si inakua balaa kama ndicho kilichokuvutia?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,115 Reaction score 136,838 Apr 4, 2012 #3 Zinauzwa wapi hizo?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Apr 4, 2012 #4 Hapo wadada watuteka wengi,maana mwenyewe hips na mapaja huwa ni ugonjwa wangu mkubwa.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Apr 4, 2012 #5 Kazi ipo, mbinu zetu zote mnazistukia. Lol.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Apr 4, 2012 #6 Nyani Ngabu said: Zinauzwa wapi hizo? Click to expand... aseme haraka maana nazitaka.......
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,115 Reaction score 136,838 Apr 4, 2012 #7 Preta said: aseme haraka maana nazitaka....... Click to expand... Huna hips?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Apr 4, 2012 #8 Husninyo said: Kazi ipo, mbinu zetu zote mnazistukia. Lol. Click to expand... wanaume wabaya hawa....khaaa....
Husninyo said: Kazi ipo, mbinu zetu zote mnazistukia. Lol. Click to expand... wanaume wabaya hawa....khaaa....
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Apr 4, 2012 #9 Preta said: wanaume wabaya hawa....khaaa.... Click to expand... we acha tu! Sahivi sijui tuje na maujanja gani wasistukie.
Preta said: wanaume wabaya hawa....khaaa.... Click to expand... we acha tu! Sahivi sijui tuje na maujanja gani wasistukie.
Shabhan JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 236 Reaction score 102 Apr 4, 2012 #10 Preta said: aseme haraka maana nazitaka....... Click to expand... usisumbuke nimekupenda hivo hivo bila hips Lool
Preta said: aseme haraka maana nazitaka....... Click to expand... usisumbuke nimekupenda hivo hivo bila hips Lool
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Apr 4, 2012 #11 Nyani Ngabu said: Huna hips? Click to expand... nilipata ajali ya kuanguka bafuni......
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,115 Reaction score 136,838 Apr 4, 2012 #12 Preta said: nilipata ajali ya kuanguka bafuni...... Click to expand... Kwa hiyo hips zikapotea?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Apr 4, 2012 #13 Shabhan said: usisumbuke nimekupenda hivo hivo bila hips Lool Click to expand... weee.....sema taratibu Mtu Chake asikusikie....ni mkali....
Shabhan said: usisumbuke nimekupenda hivo hivo bila hips Lool Click to expand... weee.....sema taratibu Mtu Chake asikusikie....ni mkali....
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Apr 4, 2012 #14 Watu fake,akili fake!Tabu sana!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Apr 4, 2012 #15 Nyani Ngabu said: Kwa hiyo hips zikapotea? Click to expand... ziliyeyuka......ukiziona uniambie.....
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,115 Reaction score 136,838 Apr 4, 2012 #16 Preta said: ziliyeyuka......ukiziona uniambie..... Click to expand... Zilikuwa za Kichina?
D dylema1992 New Member Joined Mar 28, 2012 Posts 4 Reaction score 1 Apr 4, 2012 #17 tehe tehe :A S shade::A S shade:very amusing
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Apr 4, 2012 #18 wanawake kazi mnayo.........
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Apr 4, 2012 #19 Nyani Ngabu said: Zilikuwa za Kichina? Click to expand... una kesi ujue
cartura JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 3,026 Reaction score 789 Apr 4, 2012 #20 ubatili mtupu... wanalala na hayo masuruali au?