Cobra
Simla
hizi ni unyunyu za kufa mtu. Jaribu kuzitafuta
Sema una sh ngapi ndio tukutajie kulingana na cash yako .
Wanawake mna kazi
Hajasema anataka kukesha
swali mahusiano ya kukesha na misk...ni nini pleaaase
Habari wanajamvi.Najua wengi wetu ni watumiaji wa manukato.Nisaidieni kujua ni pafyumu au spray gain ya kike inayonukia vizuri ili nikanunue.Si mnajua manukato ni moja ya njia ya kumkonga moyo husband!
Mhhh kukuchagulia harufu ya perfume ni sawa na kukuchagulia mume au mchumba .....Me ntaihisi ina harufu nzuri kumbe kwako mbaya...Yategemea pua ya mtu...Kila mtu na harufu zake..
Mfano me napenda harufu za udi mfano udi wa Mariam na baadhi ya udi nyingine...Harufu zilizokuwa tam kama za matunda, chocolate mfano perfume ya MARIAM, JLO, Feelings, lovely, etc sijui wewe?