mkuu masista na mapadri hawaoi wao wametoa sadaka kitu kitam zaidi wanachokipenda kwa mungu sababu ya kutooa sio kwamba wamezuiwa na mungu hapana sema kazi yao ile unatakiwa ukafanyekazi popote duniani yani kuna kuhama hama sana sasa wangekua na familia ingekua usumbufu imagine miaka ile ya 1900 wanaambiwa waje africa huku namtumbo huko sasa ukiwa na familia inakua mtihani ila kwa maisha ya sasa papa alikua anafikiria kuwaruhusu waoe manake kesi za kula kondoo zimekua nyingi mi nimeishi nao nawafahamu vizuriMi swali langu ni hivi kamanda! Mapadri na masista baada ya kustaafu kwao huwa wanaowa/wanaolewa? Au maisha yao yote wanakua single!
Ha ha ha we jamaa kauzu sana. Hiyo homework uliyompa hatorudia tena.Wazinzi Ni Kama Slaa ambaye uzalendo ulimshinda, otherwise walioko ndani Ni watu Safi unless utuonyeshe dadako aliyezini na Padre.
Maisha ya kutokuwa na watoto,ni maisha ya upweke.Mi nijuavyo kwa ufahamu wangu mapadre wa Rc wengi wao huhudumiwa hadi mwisho wa maisha yao,na hakuna watu wanaoishi maisha ufahari kama mapadre,Maisha yao ni raha mustarehe
Mimi sikusoma kama wewe, nilifika dalasa la nne AHiki ni nini umeandika?
Matokeo ya elimu bure ndio haya.
sikuhizi wanakua nao kwa siri mi nnamjua padri mmoja ana watoto wawili wakubwa tu mtaaniMaisha ya kutokuwa na watoto,ni maisha ya upweke.
Wanabanduana kimtindo kwa siri kubwa.Mi swali langu ni hivi kamanda! Mapadri na masista baada ya kustaafu kwao huwa wanaowa/wanaolewa? Au maisha yao yote wanakua single!
Sawa makanisa kwani yanajitegemea au miradi iliyopo sehemu inafahamika na shirika taasisiHiyo miradi haipo kila sehemu/Parokia! Wapo Mapadre wengi tu wanaishi aina hiyo ya maisha. Na sikatai hicho ulichokisema.
Na usisahau pia hao Mapadre nao ni binadamu kama sisi. Hivyo wana tabia za ubinafsi, kupigana zewnge/majungu, ukuda, nk.
Kuna dada jirani yetu Ilala alizaa nae,maumbile ni ngumu sana kuyazuia.sikuhizi wanakua nao kwa siri mi nnamjua padri mmoja ana watoto wawili wakubwa tu mtaani
mkuu kwenye miradi yao hao wasomi wanatumika jamaa wako fiti kwenye kada zote kuna walim madaktari manesi yani kila professional wanazo hadi wengine wanajeshi refer padri wa kanisa la udsmSawa makanisa kwani yanajitegemea au miradi iliyopo sehemu inafahamika na shirika taasisi
Lakini mapadre ni wasomi wazuri lazima wawe na mipango mizuri ya maendeleo zaidi ya kukaa na kuongoza misa tu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sentenso yako ya mwisho ni mbovu!Hawalipwi mafao yoyote yale ya uzeeni! Ukishapokea Sakramenti ya Upadre, unakuwa umefunga ndoa na kanisa! Utatakiwa kuchunga kondoo wa Bwana maisha yako yote!
Ukizeeka kwa kiwango cha kushindwa kuendesha misa, utaenda kuishi kwenye nyumba maalum kwa ajili ya mapadre wazee. Huko mtapewa huduma zote muhimu. Na ukiumwa, Kanisa litakutibu mwanzo mwisho.
Mapadre hawalipwi mishahara! Isipokuwa tu posho ambayo hulipwa kila mwaka mara moja. Wakati nilipokuwa Mseminari, miaka mingi iliyopita, posho yao ilikuwa ni tsh. Milioni 1.5 kwa mwaka! Bila shaka kwa sasa itakuwa ni zaidi ya hapo.
Mapadre wa zamani walikuwa na wafadhili wao huko Roma - Italy na pia Austria (MIVA), ambao waliwatumia magari ya kutembelea na fedha kwa ajili ya kuanzishia miradi mbalimbali!
Ila kwenye miaka ya katikati kwa 90 na 2000, hawa wafadhili walipungua kwa kiwango kikubwa, na hivyo kufanya baadhi ya maisha ya mapadre kuwa magumu kwa kiasi chake.
NB: maisha ya USEJA ni magumu kwa Mapadri wengi! Maana wanakula vyakula vyenye mafuta, wanga na sukari nyingi! Sasa kinachotokea baada ya hapo, wanakijua wenyewe! Baadhi wanayamudu. Ila wengi yanawashinda.
Naamini ipo siku wataruhusiwa kuoa kama sisi Walei wao.
Kwanza Masista wao nadhani hufanya mikataba na kanisa kwa hm mda fulani tu na mda ukiisha huwa wanaongeza au wanaachana usista, ila nawao wanapata huduma kama zilezile za mapadre.Na masista nao maisha yao yanakuwaje nao wanapofikia umri wa kuzeeka nao wanalipwa nssf ama pssf
Hahahah ila wanalelewa kimya kimya 😂😂😂 sasa sijajua kwenye wosia huwa wanatajwa kama watoto wa marehemu au wanakausha?sikuhizi wanakua nao kwa siri mi nnamjua padri mmoja ana watoto wawili wakubwa tu mtaani
Mkuu unasema "Ipo siku wataruhusiwa kuoa"Hawalipwi mafao yoyote yale ya uzeeni! Ukishapokea Sakramenti ya Upadre, unakuwa umefunga ndoa na kanisa! Utatakiwa kuchunga kondoo wa Bwana maisha yako yote!
Ukizeeka kwa kiwango cha kushindwa kuendesha misa, utaenda kuishi kwenye nyumba maalum kwa ajili ya mapadre wazee. Huko mtapewa huduma zote muhimu. Na ukiumwa, Kanisa litakutibu mwanzo mwisho.
Mapadre hawalipwi mishahara! Isipokuwa tu posho ambayo hulipwa kila mwaka mara moja. Wakati nilipokuwa Mseminari, miaka mingi iliyopita, posho yao ilikuwa ni tsh. Milioni 1.5 kwa mwaka! Bila shaka kwa sasa itakuwa ni zaidi ya hapo.
Mapadre wa zamani walikuwa na wafadhili wao huko Roma - Italy na pia Austria (MIVA), ambao waliwatumia magari ya kutembelea na fedha kwa ajili ya kuanzishia miradi mbalimbali!
Ila kwenye miaka ya katikati kwa 90 na 2000, hawa wafadhili walipungua kwa kiwango kikubwa, na hivyo kufanya baadhi ya maisha ya mapadre kuwa magumu kwa kiasi chake.
NB: maisha ya USEJA ni magumu kwa Mapadri wengi! Maana wanakula vyakula vyenye mafuta, wanga na sukari nyingi! Sasa kinachotokea baada ya hapo, wanakijua wenyewe! Baadhi wanayamudu. Ila wengi yanawashinda.
Naamini ipo siku wataruhusiwa kuoa kama sisi Walei wao.
Mapadre wanaruhusiwa kunywa pombe lakini sio kulewa chakari! Na kanisa linatahadari kubwa wakati wakiwaanda vijana kuwa mapadre, ndio maana mapadre wazinzi na walevi ni wachache sana na padre akianza mamba hayo, kanisa likigundua linamfukuza mapema.Hivi ni kweri wanaruhusiwa kunywa pombe?? Au ni story tu!!
Kwanza kanisa katoliki mapadre wake hawastafu, ndoa yao na kanisa katoliki ni ya milele, katika kuachana na upadre kuna kuasi au kufukuzwa.Mi swali langu ni hivi kamanda! Mapadri na masista baada ya kustaafu kwao huwa wanaowa/wanaolewa? Au maisha yao yote wanakua single!
Padre haruhusiwi kuwa na pesa au utajiri wake mwenyewe . Kila alichonacho ni mali ya kanisaSawaa Kuna padri mmoja was balangdalali uko kateshi Ni mmbulu Ni tajir haswa aliniambia Ana shamba la miti alifanyia tadhimini akapata milioni Mia nane .na pia alitunga nguruwe Mia mbili akauzaa in short Ana pesa yake nzuri tu cyo za kanisa
Hpana zile Ni Mali zake nadhani yule Musa CYO mrefu atutema upadariPadre haruhusiwi kuwa na pesa au utajiri wake mwenyewe . Kila alichonacho ni mali ya kanisa
Akiutema watazichukua mahakamani maana yupo katika kiapoHpana zile Ni Mali zake nadhani yule Musa CYO mrefu atutema upadari