Mapacha

Mtoto alizaliwa unamtelekeza vipi Mkuu!
hujawahi kuona mzazi anachukia mtoto wake na anapenda wa mwingine?Ndio maana kuna uchaguzi ktk mapenzi,mwingine ana amini akiwa na fulani atapata watoto wa aina fulani
 
hujawahi kuona mzazi anachukia mtoto wake na anapenda wa mwingine?Ndio maana kuna uchaguzi ktk mapenzi,mwingine ana amini akiwa na fulani atapata watoto wa aina fulani
Ile sio chuki ni tamaa mkuu!..
Mimba ubebe miezi 9 halafu mtoto azaliwe umchukie?!
Kwangu mimi siwezi chukia mtoto wangu
 
Ile sio chuki ni tamaa mkuu!..
Mimba ubebe miezi 9 halafu mtoto azaliwe umchukie?!
Kwangu mimi siwezi chukia mtoto wangu
Uko sahihi mkuu,kuna uchungu mkubwa anaupata mzazi pale anapogundua mtoto wake anaupungufu wa viungo baada ya kujifungua,hutamani hata ile mimba asingeibeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…