S sisala Member Joined Apr 14, 2012 Posts 74 Reaction score 14 Apr 22, 2012 #1 jaman naomba kufaham wapi liliko gamba la bariadi (mzee wa vjisenti), cjamsoma kabsa bungeni kipindi hiki cha bunge. au kaenda kutumia chenji ya ladar kaona posho ya bunge si lolote si chochote mbele ya vijisenti!
jaman naomba kufaham wapi liliko gamba la bariadi (mzee wa vjisenti), cjamsoma kabsa bungeni kipindi hiki cha bunge. au kaenda kutumia chenji ya ladar kaona posho ya bunge si lolote si chochote mbele ya vijisenti!
M moshial Member Joined Mar 20, 2012 Posts 39 Reaction score 2 Apr 22, 2012 #2 alikuwa washington anapanga bajet karud jana