The Furtick Quadruplets. Hawa ni mojawapo ya mapacha wanne wafananao duniani. Washapiga deals nyingi za TV ads since wako wadogo na pia wakiwa wakubwa washatokea kwenye music videos kadhaa.
Hapana huyo ni Ophrah Winfrey, hiyo pic ya kwanza ndio aliwahoji kwenye kipindi chake enzi hizo madogo halafu hiyo chini washakua vijana akawaita tena kwenye show