Mapacha wamenigeuza 'sex machine'

Mbona unataja majina ya watu, umepewa hiyo idhini na mwenye jina?
 
Mmoja wa hao mapacha jina lake linaanza na E ?
 
nisikudanganye yaani nngekua ni mimi ningefurahi balaaa jamani iv mbona sipatagi hizo fursa jamani
 
Ww sio mwanafunzi ni mcheza filamu za ngono pambafu ww,unaacha kusoma unatuelezea ujonga wako unao ufanya kwenye hicho kigest chako ambacho hata mwenye nyumba hajui km chumba chake ni gest.

Hv mtakua lin hv inajua kunawatu wamekuzidi umri san humu ndani ww unakurupuka na maziwa mgando yako huko tky unaandika vitu vya kipumbavu tuu

Unakuwaga wa ngapi ww?ndo nyie mnawapa mzigo walimu na kusema hawafundishi kumbe ww hufundishiki.

Mungu akurehemu maana unasomea kabur,biblia inasema "mtoto mwenye hekima humfurahisha babaye,mwana mpumbavu mzigo wa mamaye"
Pole mama kijana IMBWA SYOPE SIKUPAA.
 
Embu piga picha wakati unawagegeda upost hapa, ili tujue tunakusaidije.
 
Wanafunzi wanafunzi shabashhhh. Nendeni mkasome sasa mpandishe gpa. Tangu lini mwanafunzi akajua kugegeda. Mnanuka maziwa tokeni hapa
 
Hahaha, anapiga menu ya kupigia puli afu anaiga kupupuu kwa tembo?

Aisee long time haswaa. Hongera kwa majukumu mpendwa.
Ha ha haaaaaaa!! Umeua!!! Atakuwa na azoospermia huyo..... Kwema ndugu? Long time?
 
Nia yako ni nzur ya kujinasua ktk utumwa huo hivyo kuwa na msimamo juu ya pacha mmoja ambae ndio chaguo lako then endelea hupiga mambo.
Fanya sex kwa afya ili uweze kupata nguvu ya kuendelea na majukumu mengne ya kimaendeleo.
So kikubwa hapo ni kuwa na msimamo tu hakuna namna nyingine!!! Ukishakuwa na msimamo huwez kuwa mtumwa mahala popote pale ktk dunia hii.Sex fanya lakin maendeleo weka mbele zaidi.
 
Bora shule zifunguliwe kwa maana watoto wanatuleta chai isiyo na vitafunwa
 
Daah sawa banaa naona story za magazetin umehamishia humu...kesho njoo na nyingine
 
Panga ratiba unakuwa unatufunyua mzigo mmoja at a time[emoji39] [emoji39]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…