Mapacha Walioungana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapacha Walioungana

Discussion in 'JF Doctor' started by Mdau, Jan 5, 2010.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,718
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  heri ya mwaka mpya wadau...nina swali moja jamani, niliangalia kipindi cha Shajara TBC1,kuna mapacha wa kike wa Iringa walikuwa wanahojiwa,wameungana kifuani.kilichonishangaza,walikua wanaonge kwa pamoja, na kitu kimoja pia!! je,inakuaje hapa wadau??
   
Loading...