Mapacha walioungana wafaulu darasa la saba!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
12_10_nxpfab.jpg


Mapacha wawili walioungana kiwiliwili, Maria Mwakikuti (kushoto) na Consolata Mwakikuti (kulia) wakipata chakula pamoja wakati wa hafla ya kuwapongeza kwa kufaulu mtihani wa Darasa la Saba iliyofanyika katika Hospitali ya Misheni Ikonda Makete.

Big up sisters karibu sana natangaza kutoa msaada wa hali na mali mkifika JANGWANI SECONDARY
Mungu awabariki na kuwakumbatia kwa kila wazo mtakalowaza liwe moja na la amani

HAPPY NEW YR MA TWINS
 
Dear Jf Members
Biblia iko wazi ukipenda kupata sharti utoe binafsi nimependa juhudi za hawa watoto
na sikuamini nilipowaona wakiwa na furaha hivi Mungu ndie mweza yote..nimesikia wanakuja
Jangwani kwa upendo wa dhati ukiwa kama mwana Jf Niko njian kuongea na Jf ninaowajua
tuweze kufanya chochote juu ya hawa watoto

Jiulize umemtolea nini Mungu..ukitoa kwa ajili ya hawa umemtolea Bwana Yesu ...
kwa friends naombe muda ukifika tuwe pamoja nafwatili ujio wao hapa Dar
na lini wataanza shule tuweze kufanya tunachoweza najua ni january lakin Mungu anaweza miezi yote
Kila la kheri sis & br
 
mwacheni Mungu aitwe Mungu yale yasiyowezekana kwa macho ya kibinadamu kwake yanawezekana sijui kwanini huwa hatutazami ni kwa jinsi gani tumekirimiwa yaliyo mengi na makuu kusaidia wengine nafikiri ni wakati jamii zetu zijifunze na kuacha ubinafsi kusaidia wale wenye mahitaji ya lazima na msingi tutalipwa ujira sawasawa na kazi tulizofanya
 
Back
Top Bottom