Mapacha tena

Mapacha tena

Hongereni sana Mungu awape afya njema na awalinde na mabaya yote.

Jana mama watoto wangu kapata mapacha kwa mara nyingine tena, mapacha wa kwanza walizaliwa tarehe 20/04/2012 wa kike mmoja na wakiume mmoja na tena jana vivo hivyo wa kike mmoja na wa kiume mmoja. Mungu awabariki na awalinde.
 
hongera sana mkuu ila ongeza kipato chako maana gharama za malezi zitaongezeka maradufu na utaona chachu ya ugumu wa maisha kama kipato chko ni cha kawaida,chukua tahadhari usije ukawa mtu wa kuilaumu serikali ya ccm na kuihusisha na ugumu wa maisha yako although tatizo lipo kwako
 
Hongera mkuu.Hao mafirst born wamepishana siku kidogo na mwanangu27/4/2012.Huwa natamani mapacha jamani hongera sana.Mungu akukuzie.
jamani hongera mno ila nawaogopa sana mapacha.
 
Hahahahaha eti mapori bado yapo, kwa maana hiyo kama wife ataendeleza kudouble utakuwa na watoto nane
 
Hongera kiongozi, sasa kazi IPO kwenye malezi. Jitahidi kuzisaka aisee, 4 kids kwa maisha ya sasa ni wengi. Mungu akutie nguvu katika malezi.
 
Back
Top Bottom